Posts

NAPENDA SANA SEX” - G NAKO

Image
Imeandikwa na: Irene Robinson na Abdul Mbwambo. Sio kitu cha kushangaza tena ukikuta msichana ananyanyua simu na kumpigia kijana kumtaka kimapenzi. Wala haishangazi kukuta kijana ana wapenzi zaidi ya mmoja na pengine wote wanajuana kwenye mzunguko huo. Wala sio “surprise” tena kukuta vijana wamekaa kistoni, wakizungumza na kuchambua aina za mahusiano waliyonayo, kuanzia yale ya mbio fupi, mchepuko, friends with benefits na wakati mwingine mwenye wengi ndio kinara. Ndio maana msanii G-Nako kutoka weusi na yeye alipoulizwa na DJ Tee, mtangazaji wa kipindi cha Shujaaz Radio Show kuhusu ni kundi gani kati ya vijana wa kike na kiume ambalo hufikiria sex zaidi katika michakato yao ya kila siku, aliamua kufungua roho kuhusu hili. Huku akijifikiria kwa umakini, G-Nako alisema hawezi kusema kwa uhakika kwamba ni jinsia gani inapenda sex zaidi ya nyingine. “It depends na mtu na mtu, kwa mfano kama mimi hapa napenda sex sana” alisema mkali huyu wa Go Low. Katika mjadala mkal...

MAKING MKWANJA (DJTEE 255)

Image
Image
Image
Image
Image